Social Icons


JE UNAHITAJI MAFUNDI MBALIMBALI WA UJENZI

Kwa wale wageni wetu mlioingia hivi karibuni..

Nawatambulisha kwenu Ujenzi zone team work!
Ukitushirikisha kwenye ujenzi wavnyumba yako basi utafurahia huduma toka kwa team nzima ya ujenzi zone..
Tunaye designer wa ramani,garden,na landscaping 0784992222.

Tunaye fundi mwashi,ujenz wa fence mashimo ya choo na plasta ALEX 0715659094.

Fundi umeme,wiring muone Ibrahim Makbel Jr.0787577755

Fundi paa muone Godfrey Ntalo Shoo0715663341

Wakala wa mabati ya Alaf muone Nassor Lipangile yuko mwenge 0754259179

Fundi urembo wa nguzo muone Mathias urembo 0717090212

Fundi plumber muone nelson 0716586200

Fundi gypsum muone haji kigoma 0714785185

Kuhamisha watu,usafi majumbani na maofisin,garden na landscaping waone TAMEN SERVICES 0719036477

INTERIOR DECORATER MUONE Mussa Kisamo0754310456

Fundi tiles na fund rangi za kisasa  cornmix ,drewa,muone David Kimaro0712336665

Fundi welding kazi zote za chuma nione mimi The Admn 0786808707Balcon, madirisha,mageti,na fenicha aina zote

Wauzaji wa cemnt ya jumla na rejareja na vfaa vya ujenz kwa Dsm waone Progrenic Hardware wako Goba 0713777725

Matofali,mchanga,kokoto,kifusi kwa Dsm mpigie 0716 892166

Fundi peving blocks nione 0786808707

Fundi fenicha muone 0719136699

Aluminiun muone Purity Aluminium Pvc

Fencing wire muone Alex 0716275187

No comments :