Featured Posts
KITCHEN CABINETS/MAKABATI YA JIKONI
KAZI ZETU UJENZI ZONE WORKSHOP GOBA DSM
UJENZI ZONE TUNAKUUNGANISHA NA MAFUNDI FANI ZOTE WA UJENZI
WHITESKIMM WALL PUTTY SASA ZIKO MADUKA YOTE YA VIFAA VYA UJENZI
SKIM KWA MATERIAL YA UHAKIKA WHITESKIMM WALL PUTY
KIWANJA KINAUZWA BOKO DSM
KARIBU UJENZI ZONE
❤️❤️FAHAMU KAZI ZETU UJENZI ZONE(KAZI ZA ADMN)...
👉Tunafanya kazi zote za welding,na mbao..
👉Tunafanya kazi za finishing kwa maana ya skimming,na rangi za majengo aina zote za kisasa..
👉Metal works(mageti ya kuslide,Madirisha ya gril,chuma za pazia,balcon,parking shade za magari,stend za maua,shelves za dukani,shoereck za chuma,balluster,bembea,vitanda vya chuma aina zote na kazi zote za welding)
👉Wood works collection(frem ,milango,makabati ya Jikoni,na Makabati ya Tv-tv showcase)
👉Aluminium windows&doors..
👉Paving blocks&fittings..
👉Tunakuunganisha na mafundi wa ujenzi fani zote..
👉Tunapokea matangazo ya ujenzi kishatunakupostia kwa Fb group yetu ina members 331,000na insta 45,300 members..
💪🔥🔥NAWAKARIBISHA SANA WORKSHOP YANGU IKO GOBA TATEDO DSM.NIPIGIE 0717060776❤️❤️
KIWANJA KINAUZWA NJIRO ARUSHA
HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA ARUSHA NA DSM..
MDAU ANAUZA KIWANJA KIPO NJIRO ARUSHA MJINI..
KUMBUKA NJIRO NI KWA WASHUA PALE ATOWN,SIO USWAHILINI..
KIWANJA KINA SQR MITA 823..
KIMEPIMWA KINAYO HATI SAFI..
Kituo cha basi: Nalopa.
Kutembea kutoka barabarani ni umbali wa Dakika 10.
Kina hati na kipo karibu na kanisa la Methodist.
0713 441442
MAONGEZI YAPO,KARIBUNI SANA WAKAZI WA ARUSHA,NA WATANZANIA WOTE MNAOTAMANI KUMILIKI ARDHI ARUSHA MJINI..
IJUE WHITESKIMM WALL PUTY TOKA MAGIC BUILDER INTERNATIONAL
@magic_builders_international WANAKUPA UFAFANUZI ZAIDI KUHUSU PRODUCT YETU MUPYAA YA WHITESKIMM..
0762 249 696 ORDER KUANZIA 50 BAGS PIGA NAMBA HII..
Naomba nitoee Darasa kidogo kuhusu White Skim wall putty na utofauti wake na Bidhaa zingine kama Gypsum plaster na white cement,
White Skim wall putty ni Putty iliyotengenezwa Mahusi kudhibiti Unyevu (Maji) shambulio la chumvi na Magadi pamoja na Fangasi, hutumika kwa kuta za njee na ndani, pia yafaa kuskim kwenye Ceiling na kubandika Mikanda ya Gypsum, hivyo kufanya kuwa Bora kuliko Gypsum pawder ambazo hutumika kwa Matumizi ya kuta za Ndani pekee, Gypsum pawder hushambuliwa na Fangasi na chumvi, pamoja na Maji na hivyo kufanya Rangi kutokudumu kwa muda mrefu
Je ni ipi tofauti ya White Skim wall putty na white cement?
White cement ina uwezo wa Kudhibiti Maji pia, changamoto ya white cement inasumbua wakati wa kupiga Msasa, haipokei msasa kirahisi tofauti na wall putty, hivyo fundi hutumia Nguvu ya Ziada kupiga msasa,
Pia ina Tabia ya kujenga Joto hivyo hafai kutumika kwa kuta za ndani, White Skim wall putty haina tatizo hilo, inafaaa kwa Matumizi ya ndani na Njee Bila shida,
Tofauti ya tatu na Kubwa ni kwamba White cement huitaji Rangi nyeupe ya Maji (white emulsion) kama kichanganyio, hii huongeza Gharama ya ziada, white skim wall putty huchanganywa na Maji tu
White cement huganda haraka kwenye ndoo tofauti na white Skim wall putty ambayo hukaa hadi masaa matatu bila kuganda
Na mwisho White cement hutoa nyufa ndogo ndogo ikikauka, white Skim wall putty hairuhusu nyufa hizo