Social Icons


Showing posts with label mfumo wa umeme majumbani. Show all posts
Showing posts with label mfumo wa umeme majumbani. Show all posts

UMEME MAJUMBANI WAONE FAABI

Kwa kazi safi na bora za Umeme majumbani (Domestic Electrical Installation) Kwa hatua zote za:
(1) Kutindua, kuset square box, Main switch etc
(2)Wiring
(3)Kufunga Electrical components (switch, sockets & electric lights
(4)Kuhakikisha na kuisimamia nyumba yako inawaka Umeme
(5)Ushauri kuhusu matumizi sahihi ya Umeme
(5)Kukagua mifumo ya Umeme majumbani.
(6)Kurekebisha mifumo ya Umeme.

Kwa hatua za kutindua na kuset square box na uwekaji wa electrical conduits pipes kwenye maghorofa ufundi inakuwa ni mapatano kutokana na mazingira ya kazi husika. Kwa hatua ya wiring na kufunga switch/switch sockets na decoration lights tunafanya kwa asilimia 35% kwa site zilizo ndani ya Dar es salaam na 40% kwa site zilizo nje ya Dar es salaam (mikoani)

FAABI Electrical Solutions
0777077755
0787577755
0767577755
0717577755
Tunapatikana:
Sinza E. Opposite T.P Football Ground.
Dar es salaam, Tanzania

KUTANA NA MDAU ALIYEBOBEA KATIKA FANI YA UMEME..

Umeme kwa karne yetu umekuwa moja kati ya mahitaji muhimu sana.
Wengi wanaojenga wanaweka miundombinu mizuri ili nao waje kufurahia teknolojia hii muhimu.
Unapohitaji fundi wa kukuwekea miundombinu yote muhimu ya umeme nyumbani usisite kumuona 

MR.IBRAHIM MAKBEL JR.
OFISI ZAKE HUFAHAMIKA KWA JINA LA FAABI ELECTRICAL

Karibu sana upate kilicho bora kwa gharama nafuu sana. Pichani ni baadhi ya kazi alizofanya akiwa na mafundi wake waliobobea.


FAABI ELECTRICAL SOLUTIONS

0787577755
0717577755
0767577755
0777077755