Social Icons


Wauzaji na Wanunuzi

Wapendwa wadau wa Blog yetu ya Ujenzi Zone tunawaletea Segment ambayo inawakutanisha wauzaji wa bidhaa mbalimbali na wanunuzi ambao wanatafuta kununua bidhaa zinazohusika na ujenzi. Kama wewe unauza bidhaa au unatoa huduma inayohusika na ujenzi, au wewe ni mteja unayehitaji huduma na mtaalam wa ujenzi , wasiliana nasi kwa namba +255786808707 au Barua pepe ujenzizone@gmail.com ili tukuwekee Tangazo lako hapa.


Tangazo litumwe kama ifuatavyo
Tuma Picha zisizo zidi tatu za bidhaa unayotaka kuuza na zenye ubora, Maelezo mafupi, Mawasiliano ya Simu au Barua pepe na Mahali unapo patikana.

Kwa Mdau unaetafuta Bidhaa au huduma maalum inayohusiana na ujenzi tutumie Maelezo ya huduma au bidhaa unayoitafuta na tutakuwekea Tangazo lako hapa. 

Pia unaweza kuwasiliana na sisi kwa kubofya hapa au post comment hapo chini na ujumbe wako utatufikia 



No comments :