Social Icons


Showing posts with label plot for sale. Show all posts
Showing posts with label plot for sale. Show all posts

KIWANJA KINAUZWA BOKO DSM

size ya kiwanja ni sqr mita 600
bei sh 22m
kimezungukwa na fence pande mbili
umeme na maji vipo hapo pembeni..
kipo Boko magengeni kushoto ukitokea Dsm kuelekea bagamoyo..
Unapita postobella resort kiko jiran na dogodogo centre.

0717060776


KIWANJA KINAUZWA GOBA...

kiwanja kina square mtr 2000. Kiko kilimani na kuna view nzuri. Unaingilia barabara iendayo Wazo Goba njia tatu. Barabara inafikika vzuri hadi uwanjani. Bei 35m, maelewano yapo .
very serious buyer call 

0786808707

KIWANJA KINAUZWA BUNJU A'MIANZINI...


Ujenzi Zone inawatangazia habari njema ya kiwanja kinachouzwa BUNJU A..waweza ingilia njia ya usalama au kituo cha mianzini. Kiwanja kina urefu mita 25kwa upana 30.
Huduma za maji na umeme ziko karibu almost hapohapo kama inavyoonekana pichani nguzo iko mpakani. Barabara ya uhakika ipo hadi uwanjani. Kuna neighbourhood nzuri kama inavyoonekana pichani kiwanja ni hicho kilicholimwa.
Hakijapimwa. BEI MILIONI 22..kukiona ruksa piga namba 0786 808707

0767 992222