Sote twafahamu umuhimu wa kumiliki bustani nzuri na zenye kuvutia machoni kwa wenyeji na wageni.
Leo ujenzi zone tutakufunza kupitia picha hizi tano bora makini sana.
Mchanganyiko wa kokoto nyeupe,na za brown unaongeza ladha halikadhalika uwepo wa mitungi na slabs zinazozungukwa na ukoka wa kijani nayo pia huimarisha muonekano mzuri wa bustani zetu.
Tunapenda kujua wadau kati ya hizo aina tano ,je mmependa ipi na kwanini.
Showing posts with label GARDEN AND LANDSCAPING. Show all posts
Showing posts with label GARDEN AND LANDSCAPING. Show all posts
GARDEN IDEAS,JE IPI UNGEPENDA KUIMILIKI KATI YA HIZI 5BORA
WATAALAMU WA GADENI NA LANDSCAPING HAWA HAPA..
KWA WALE WADAU MNAOJALI MIPANGILIO MARIDADI YA ARDHI KWENYE NYUMBA ZENU PAMOJA NA BUSTANI NZURI, HILI HAPA SULUHISHO LAKO.
Mettamode Company Limited(Landscape Specialist)
Kwa mahitaji yako ya Upimaji, designing na kazi nzima ya Landscape tupigie nasi tutakufikia.
Phone Number:
+255 769 988 677
+255 789 988 677
E mail : mettamodetz@gmail.com
PICHANI NI BAADHI YA KAZI ZAO.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)
