Social Icons


Showing posts with label MADIRISHA. Show all posts
Showing posts with label MADIRISHA. Show all posts

METAL WORKS COLLECTION...

Kwa wale mnaohitaji madirisha ya grill,aina mbalimbali..
Vitanda vya chuma,balcon za barazani na kwenye ngazi,n.k
Mageti,na milango design mbalimbali.
UJENZI ZONE TUNAPOKEA ODA ZA AINA ZOTE KWA GHARAMA NAFUU .POPOTE DSM TUTAKUFIKIA...

0786808707



































NYUMBA NI MADIRISHA

Tunapoongelea nyumba bora ya kisasa na yenye kuvutia tunaangalia vigezo vingi. Dirisha kubwa ni moja ya kigezo kikuu katika kukamilisha muonekano mzuri wa nyumba.Halikadhalika kuchangia katika kuleta afya bora kwa wanaoishi ndani kutokana na uwepo wa mwanga wa kutosha na  hewa safi.katika ujenzi wa nyumba hasa maeneo yetu yenye joto na mzunguko mkubwa wa watu inapendeza dirisha likianzia chini usawa wa kozi moja ya tofali,au mbili.Ni mazoea kwa walio wengi kuweka sebulen na dining room dirisha kubwa za size hiyo.Ila inapendeza zaidi yakiwekwa kwa nyumba nzima.(pichani ni nyumba yenye madirisha makubwa  yenye kuvutia,toka kwa mdau wetu wa Ujenzi zone).