Social Icons


MADIRISHA YA GRILL ZA KISASA

Tofauti na miaka iliyopita ambapo nondo zilitumika kwa kiasi kikubwa, sikuhizi chuma aina ya flat bar na nondo za square bar ndio zmekuwa zikitumika na hakika dirisha zake ziko simple and classic.Teknolojia mpya ya uwekaji grill kwa ndani ya koplo ya dirisha na nje kufuatiwa na frem za dirisha ya aluminium au Upvc imepelekea mvuto wa nyumba zetu kuongezeka na pia thamani kuongezeka kutokana na finishng nzuri ya dirisha.(pichani ni Baadhi ya dirisha za grill za kisasa.Kwa huduma hii wasiliana na workshop ya ujenzi Zone kwa 0786808707Dsm yote tunakufikia)

3 comments :

faraja said...

Kazi nzurii

faraja said...

Nice

faraja said...

Kazi nzurii