Kama ilivyo ada kwetu ujenzi zone,paving blocks unique zenye mvuto na zenye uimara hupatkana kwetu.
Popote ulipo Dsm tutakufikia kwa bei ile ile ya sh 14500kwa square metre moja.
Tupigie kwa namba 0786808707
Kupanga huwa ni shiling 4000@square metre
PAVING BLOCKS"KAZI ZINAENDELEA 0786808707
PEVING BLOCKS..HII NI KAZI YANGU KWA MDAU WA GOBA MADALE..
Soon nitawaletea picha za after upangaji.
Karibuni sana hizi ni kazi zangu ,nauza sh 15,000kwa square mita moja.kupanga ni sh 4000kwa square mita.
Design yoyote uitakayo tunakutolea.
Oda ni ya wiki 2.na pia tunazo readymade.
Nipigie 0786808707
Amaizing paving blocks,made in Dsm!
Karibuni sana paving blocks nauza sh 15,000square metre moja,kupanga ni sh 4000na zinaingia blocks 50 kila sqr metre moja.
Tunapatikana goba dsm,usafir ni gharama ya mteja.oda kubwa inachukua wiki 3na oda ndogo ni siku 10.
Nipigie 0786808707
PEVING BLOCKS NEW DESIGN THAT ROCKS..
Ukihitaji peving blocks design hizi na nyingine mingi mingi.
Nipigie ujipatie oda yako kwa sqr mita moja nauza sh 15500.
hizi zinazalishwa kwa vibrated machine na zna uimara wa hali ya juu.
0786808707
Tuko goba tatedo
PEVING BLOCKS KAZI MUPYA TOKA UJENZI ZONE
Nawakaribisha wadau wote mnaohitaji huduma ya kutengenezewa na kupangiwa peving blocks design mbalimbali za kisasa.
Hii ni kazi yetu toka kwa mdau wetu wa kibada kigamboni Dsm.
Bei ya kuuza ni 15,000 kwa square mita moja na bei ya kupanga ni sh 5000kwa square mita moja.
Tupigie 078680870
PEVING BLOCKS NEW DESIGN KWA MDAU WETU ..
KAZI YANGU YA PEVING BLOCKS KWA MDAU WANGU PANDE ZA KIBADA KIGAMBONI...Hii tumehamia hapo na kufanya kazi.Karibuni wote mnaohitaji kuweka oda ya peving,square mita moja zinaingia blocks 55 kama uonavyo picha ya kwanza,bei ni 15,500. 0786808707 .Bei ya kupanga ni sh 4000kwa square mita moja.
SHUKRANI KWA KUNIPA KAZI MDAU WANGU,ALL THE WAY FROM KIBADA KIGAMBONI,KWETU UMBALI SIO KIKWAZO,MUHIMU NIA IWEPO.
