Social Icons


Showing posts with label metal staffs. Show all posts
Showing posts with label metal staffs. Show all posts

POWER OF METAL STAFFS...

Sio tu uimara na umadhubuti bali vifaa vinavyotengenezwa kwa chuma kwa matumizi mbalimbali huongeza mvuto na umaridadi vikidizainiwa vizuri.Pichani utajionea mivuto mbalimbali na hakika hautojutia kujenga na matirio hizi.
Kwa mahitaji ya madirisha,mageti,balcon,staircase,na fenicha mbalimbali!KARIBU TUNAPOKEA ODA0786 808707

GRILL CONTRACTORS (DIRISHA NA MILANGO)

Karibuni wote kwa uhitaji wa dirisha za grill,milango,vitanda,mageti na fenicha aina zote,tunazingatia muda na ubora wa kazi yako utafikiwa.Tupo goba tatedo na tunakuhudumia mkazi wa Dsm na vitongoji vyake kwa gharama nafuu.0717060776 watsap na 0786808707kwa mawasiliano.utaratibu wetu ni kukupimia,kukupa picha uchague sampo, kukupatia quotation,kisha kuanza kazi kwa 50pacent of total amount,mwishoni ukiridhia kazi ni wiki mbili kisha tunakusafirishia na kukufutishia,red oxide ni cost yetu.karibu sana