Matumizi ya mbao aina ya mkongo,mninga n.k yameongeza upatikanaji wa fenicha mbalimbali zenye uimara na mvuto pale zinaponafanyiwa finishing nzuri ya msasa na vanish hata na rangi.
Leo ujenzi zone itashea nanyi majiko yanayofaa kwa nyumba za size ya kati hususani majiko yenye makabati ya mbao.
Uimara na umaridadi ndio sifa kuu ya mbao hizi.
Kwa nyumba kuwa ya kisasa inapendeza zaidi kujengea jiko la ndani hata kwa kutumia kuta moja kama baadhi ya picha zinavyoonyesha.
Kikubwa ni kuwa huhitaji nyumba kubwa saana kuweza kumiliki jiko la ndani,hata wenye nyumba za size ndogo wanaweza pata ideas za kujenga majiko ya kisasa kwa nyumba zao.
(Picha nne za mwisho ni kazi ya fundi huyu,Fundi makabati 0719136699.)
KITCHEN IDEAS KWA NYUMBA ZENYE SIZE NDOGO
Labels:
House fittings
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
1 comment :
Kazi nzuri sana
Post a Comment