Katika upambaji wa nyumba na uhifadhi wa vitu muhimu kama vitabu,vinyago,na maua tunahitaji shelfu.Inapendeza zikiwa wazi kuruhusu muonekano wa vinavyowekwa na pia ni rahisi kuzisafisha zikiwa wazi.
leo Ujenzi zone itashea nanyi ideas mbalimbali za namna ya uwekaji shelves.Wengi huzitengeneza au kuzinunua readymade na kuzifunga ukutani kwa kudrill na kufunga na screw.Zoezi hufanyika hasa kipindi cha finishing.
Karibu ujifunze kwa picha na ukaribishe wengine wajifunze kwa blog yetu.
SHELVES IDEAS..
Labels:
HOUSE DECORATION
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment