Ni mazoea kwa wengi kupaka rangi nyeupe kwa gypsum.Hii ni kutokana na chaguo la mwenye nyumba na maamuzi yake.leo napenda kushea nanyi gypsum zenye rangi tofauti.kwakweli zote znavutia kadiri na hatuwezi kujaji sababu uzuri wa kitu upo katika macho ya muonaji.(kwa kaz ya gypsum kama hizi muone fundi 0687789024)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment