Social Icons


COFFEE TABLE DESIGNS

EID MUBARAK Wadau wa ujenzi zone blog.leo tunakuonjesha ladha mupya ya meza zinazowekwa sebuleni na wengi huziita coffee table.Mara nyingi meza hiz huwa ni pambo la sebule zetu,wengi huweka ua au vase kuzipendezesha na zaidi leo ntakupa aina 6za meza hizi ambazo hazihitaji ua wala pambo kutokana na zenyewe kuwa na mvuto wa aina yake.wengi hupendelea zenye marine board kimuundo hupendeza sana sababu huruhusu kupakwa rangi.wengine hutumia mdf nayo ikifanyiwa finishing nzur hupendeza zaidi.na wengine hutumia stainless still pamoja na kioo kama top yake nazo huvutia zaidi.Mbao ikinakishiwa vizuri pia hupendeza sana.

1 comment :

Cecylia said...

Nimependa ya pili na ya tatu very nice and simple