Bustani za maua zinapendeza zaidi zikipandwa ukoka.mchanganyiko wa maua na ukoka uwe mpana au mwembamba bado unavutia mno pakiwepo na utengenezwaji wa ardhi kwa layers /steps tofautitofauti iwe kupanda juu kidogo au kushuka chini.Wengi hujenga hizi steps kuendana na asili ya maeneo yao mfano wenye slopes huzitumia kutoa design nzuri halikadhalika wenye eneo tambarare.Matumizi ya mawe kama tanga stone huongeza ladha mno katika bustani zetu na pia uwekwaji wa taa nao huzidisha mvuto.muhimu kutunza bustani zetu kwa maji,mbolea na kujua aina ya udongo unaofaa kwa maua yako sababu waweza kuta udongo wa asili kwa eneo lako haufai hivyo waweza utoa ukaleta mwingine.Mwisho napenda washauri tusiwapuuzie wataalam wa landscapping na garden sababu wana uzoefu wa kutosha kukushauri juu ya kufanikisha uwepo wa bustani nzuri na za kisasa.
GARDEN IDEAS
Labels:
MUONEKANO WA NJE
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment