Mgawanyo wa ndani hasa baina ya sebule na dinning huweza kuwa na style tofauti tofauti kulingana na mapendo ya mwenye nyumba na pia ramani husika hupelekea style iwe tofauti.
Mfano mwingine anapenda square shep basi atagawa in square ile entrance baina ya sebule na dinning,mwingine anapenda round,mwengine anapenda arch,mwengine ataweka ukuta na kidirisha kidogo kama nyumba nyingi za zamani,wengine huweka mlango wa kioo,wengine huweka nguzo nusu na ukuta nusu,wengine huweka steps kushuka chini au kupanda juu kidogo,ilimradi unadhifu na umaridadi utumike kupendezesha eneo hili.
Kama ilivyo ada yetu tunakujuza kwa picha upate ideas makini.
MGAWANYIKO WA NDANI(JE BAINA YA SEBULE NA DINNING UMEGAWANYISHA KWA STYLE IPI?)
Labels:
Interior design
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment