Social Icons


NYUMBA KALI ZILIZOROCK UZ 2014

Hongera mdau kwa ubunifu wa hali ya juu na umakini.Style hizi ndizo zinarock kwa sebule zetu za kisasa.Nguzo zenye decorations pamoja na matiles ya ukweli..gypsum iko pafect na rangi ya ndani imetulia.
Mdau ananiinsipire sana ukizingatia stages za ujenzi anazopitia akiwa ndani ya mjengo wake.Cant wait kuwaletea picha za mapazia...itawajia soon wadau endelea kupitia blog yako ya ujenzi zone kwa ujenzi classic na wa kisasa...

2 comments :

Anonymous said...

Naweza kupata namba ya simu ya huyu fundi wa ceiling na design ya hii nyumba?

Anonymous said...

Again, jamani namuomba fundi aliyetengeneza hii. Nimejaribu kuffollow kwenye facebook page ya UZ but sijapata hii post.