Social Icons


WHEN BEFORE MEETS AFTER...

Moja kati ya mambo muhimu yanayoongeza hamasa kwenye ujenzi ni kuona safari ya mwingine kutoka hatua ya awali mpaka kufikia level fulani ya juu zaidi.
leo tunapata kuona nyumba ya mdau kutoka katika hatua za linta mpaka upauaji makini wenye kuzingatia vigezo.
Tuzidi kuhamasika kuwa inawezekana,haujachelewa mdau anza sasa.






Wapendwa hiyo paa ni kazi ya ndugu yetu maarufu kwa jina la Emmanuel Mapaa
anapatikana kwa

0715797882







4 comments :

Anonymous said...

Mazingira ya kiwanja na nyumba kama vile kigamboni gezaulole mbona.Nahisi atakuwa jirani yangu huyo.

Anonymous said...

Kwa kweli inatia hamasa sana

Anonymous said...

namba ya simu ya alieezeka

Ujenzi Zone said...

Mdau ulieulizia namba ya simu ya alieezeka hiyo nyumba, tunaamini namba na jina vipo hapo hapo katika post, ipitie tena kwa umakini na utaziona.