Social Icons


JIONEE STYLE 10 ZA CEILING & GYPSUM ZINAZOROCK..

Ni jumatatu nyingine tena ya matumaini mapya.Ujenzi zone inawasikiliza wadau wake na haiwaachi bila kushea vile mnavyoviomba tuweke hapa kwa manufaa ya wote.
Leo tutajionea dizain za kisasa zinazorock kwa sasa pale unapofikia hatua ya kuweka ceiling.
Hizi pichani ni gypsum bord ambazo hununuliwa kwa ukubwa na unene tofauti.
Kazi yake inahusisha unga wake unaotumika kuzigundisshia pamoja na vitu vingine mfano mikanda ya gypsum.
kwa wale mnaohitaji huduma hizi muone fundi Deo na utaifurahia kazi yake.
0756 27 42 86



















No comments :