Social Icons


KIWANJA KINAUZWA BUNJU A'MIANZINI...


Ujenzi Zone inawatangazia habari njema ya kiwanja kinachouzwa BUNJU A..waweza ingilia njia ya usalama au kituo cha mianzini. Kiwanja kina urefu mita 25kwa upana 30.
Huduma za maji na umeme ziko karibu almost hapohapo kama inavyoonekana pichani nguzo iko mpakani. Barabara ya uhakika ipo hadi uwanjani. Kuna neighbourhood nzuri kama inavyoonekana pichani kiwanja ni hicho kilicholimwa.
Hakijapimwa. BEI MILIONI 22..kukiona ruksa piga namba 0786 808707

0767 992222






No comments :