Social Icons


RANGI HIZI HUFAA KWA SEBULE CLASSIC..

Wengi huumiza kichwa kujua wapendezeshe vipi sebule zao.
Ujenzi zone inakupa ideas za kupata muonekano classic wa sebule yako.
Rangi huwa haina sheria bali ni chaguo ndani ya moyo wa mmiliki,hivyo kama umeshajua unapendelea mfano rangi nyekundu,unatakiwa kuipaka kwenye ukuta mmoja ambao utadhamiria kuweka televishen na music system plus other deco kama frem za picha ,vinyago n.k Ila kwa upande mwingine waweza paka rangi zilizo light kama nyeupe au cream ili kubalance mwanga.na giza kutokana na rangi nying zinazopakwa kwa kita moja kuwa na giza.
Leo tutashea baadhi ya sebule zinazorock zikiwa zimepakwa rangi kali kwa kuta moja.

No comments :