Social Icons


UJENZI ZONE METAL SHOP NOW OPEN AT MWENGE DSM

Kwa sasa hauna haja tena ya Kuwazia wapi utajipatia fenicha za chuma aina zote kwa hapa Dsm.UJENZI ZONE METAL WORKS ndio habari mpya mjini.
Huduma zetu tunazotoa ni kutengeneza
Madirisha
Vitanda vya aina zote
Stend za maua
Balcon
Mageti
Makabati ya vitabu na shelvea za urembo
Milango ya chuma.
Na bomba aina zote za net,za mapazia,za kuanikia nguo n.k
Tuwasiliane 0786 808707.

No comments :