Social Icons


GOOD NEWS! GOOD NEWS...KWA WAKAZI WA GOBA,MBEZI MWISHO,MBEZI BEACH,MAKONGO JUU,MADALE,TEGETA EI,NA KIMARA..

BUBBLE GUPPIES PRE SCHOOL AND KINDERGARTEN...ni shule mpya ya mdau mwenzetu kwajili ya watoto wetu wadogo, shule iko goba njia nne junction..ukitokea masana mbezi beach unaingia kushoto kwako junction ni mita 100 mpaka ilipo jirani na njia ya matosa inayoenda kimara kin'gon'go.Ukitokea mbezi mwisho shule iko kulia kwako ufikapo njia nne junction kuu
Umri tunapokea kuanzia  miaka miwili hadi sita 2-6yrs.Tunao walimu wazoefu kutoka nje na ndani ya Tanzania.
Shule inafunguliwa mwezi huu tarehe 8/7/2015.
Wazazi karibuni sana mlete watoto wenu,usafiri upo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na mwanadada huyu mmiliki kwa namba 0653 120 725
0753 580 991..

No comments :