Social Icons


HAPPY EID TO ALL "BEFORE AND AFTER GARDEN YA MDAU WETU

Nawatakia sikukuu njema ya eid waislamu wote na walio na upendo juu ya sikukuu hii.
Tunaomba amani itawale nchini kwetu na mafundisho yote mliyoyashika kipindi kilichopita cha ramadhani yakazidi kuimarika mioyoni.

Leo tunayofuraha kushea nanyi picha za nyumba ya mdau wetu ambazo zinatupa mafundisho mengi sana.

Kwanza ni kuwa hatua za kusimamisha jengo huwa ziko uniform kwa nyumba nyingi ila kinachokuja kuitofautisha nyumba na nyumba ni finishing ya ndani na nje,kama uonavyo katika nyumba hii.

Pili tunajifunza kuwa idea ya kumilik bustani kali na ya mvuto kama hii ya mdau huwa inaanza mapema sana  hasa kipindi ujenzi unavyoendelea kama alivyofanya mdau wetu.

Muhimu ni kuwaheshimu wataalamu wa ujenzi na kuwashirikisha pale uwezo unaporuhusu ili kujua position ya nyumba ni ipi na garden ni ipi ili unavyoendlea na ujenzi uweze kupanda maua na miti.

THANKS ONCE MORE KUWA MDAU MWEMA WA UJENZI ZONE DADAYETU UNAYEJITOA KUSHEA NASI PICHA ZA NYUMBA YAKO,UBARIKIWE SANA.

No comments :