Social Icons


FUNDI RANGI AMETISHER....

Nyumba ni  finishing,na tunapoongelea finishing hatuwezi kuisahau rangi.
Katika nyumba hii mpangilio  mzuri wa rangi umeifanya ipendeze sana na kuonekana yenye thamani ya hali ya juu.
Mpangilio wa rangi ya baraza kumech na corner blocks umetendewa haki.
pongezi nyingi kwa mdau mwenye mjengo huu.

Contact za fundi 0655 886 149. He has very reasonable prices. Hatubebi dhamana  kwenye makubaliano ya  kazi zenu.
Tunawatakia ujenzi mwema.

No comments :