Social Icons


FUNDI GODFREY SHOO MTAALAM WABMAPAA YA KISASA DSM

Usiwaze wapi utapata fundi mzuri wa kupaua nyumba yako kwa mabati au vigae vya kisasa.muone fund godfrey shoo kwa kazi nzuri na yenye gharama nafuu.Huwa ni msikivu sana na hautajutia kufanya naye kazi.
0767461087
0715663341
Pichan ni kazi za mikono yake,na kwa mbali utamuona amekwea kwenye paa pamoja na ubonge wake anafanya kaz kama kawaida na sio fundi dalali.

No comments :