Social Icons


FUNDI UMEME MAJUMBANI WAKUAMINIKA..

Napenda kutoa asante zangu za dhati kwa admin wa Ujenzi Zone dada shupavu Jacque Beverly Pinkliscious kwa msaada mkubwa wa kunitangaza kwenye hili jukwaa kwa upande wa ufundi Umeme. Mimi na crew yangu nzima ya FAABI Electrical Service hatuna cha kukulipa dada yangu zaidi ya kukuombea dua njema kwa Mungu.

Hizo pichani ni sehemu ya site tulizozipata humu ambazo ni  za wana Ujenzi Zone ambazo FAABI Electrical Service Provider tumehusika kwa hatua za Umeme. Zipo ambazo tulizirekebisha wiring zake, point zake za switch, switch sockets, lights etc. Zipo ambazo tumeanza hatua za awali hadi kukamilika kwake kuwaka Umeme. Na zipo pia ambazo tunaendelea nazo mpaka sasa kwa hatua ya kutindua, kuset, wiring na kufunga decoration lights.

90% ya clients wetu wamezifurahia kazi zetu.
Kwa ambao bado hamjafanyiwa kazi za Umeme ninawakaribisha sana:

FAABI Electrical Service Provider
0777077755
0787577755
0767577755
0717577755
Sinza E. Opposite T.P Football Ground
Dar es salaam, Tanzania.
www.faabielectrical.co.tz

No comments :