Social Icons


WAKALA MUAMINIFU WA AINA ZOTE ZA PAA,DECRA,ALAF NA SUNSHARE

JANUARY INAISHIA..SASA TUNAENDLEA KUPAUA NA MABATI TOKA ALAF,NA SUNSHARE.
VIGAE VYA DECRA NAVYO Nassor Lipangile ANASUPPLY KAMA KAWA.

Kwa mahitaji ya bati za aina zote Alaf, sunshare hadi vigae vya decra kutoka nabaki usisite kumuona wakala wa nguvu Nassor lipangile atakupa huduma za hali ya juu !
wengi waliofika kwake wamekiri kuwa ni agent wa kisawasawa mdau hana longolongo.
Epuka usumbufu wa kusubili foleni viwandani na kutapeliwa na mawakala feki.
Kwa mawasiliano 0754259179/0715916836 au fika dukani kwake Mandera road,veterinary opposite kilimo.

No comments :