MAKOCHI YA BARAZANI TOKA KWANGU KWENDA KWA MDAU WA NGUVU..
asante kuniunga mkono mdau wangu..
Yamependeza sana na kameza kamerock mnoo..
Napokea oda siti ya mtu mmoja sh laki 1 so hapo ni siti ya watu sita sh 600,000.
Mito huwa siuzi nakuelekeza utakapoenda kununua na kushonewa kile ukitakacho kwa gharama nafuu.
SI TU KWA BARAZANI HATA NDANI UKIHITAJ YANAFAA..
Nipigie 0786808707.ninazo designs kali kalii za makochi ya chuma.
MAKOCHI YA BARAZANI YA CHUMA
Labels:
metal works collection
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment