Social Icons


FAHAMU KAZI ZA MIKONO YA ADMN WA BLOG YA UJENZI ZONE

Ndugu wadau.
Admn wenu najihusisha zaidi na metal works fabrication,na utengenezaji na uuzaji wa paving blocks.
Kazi zingine ninazotangaza humu ni za wadau wenzangu na huwa naweka namba zao za simu baada ya maelezo ya kazi zao.
Nawakaribisha sana mniunge mkono.
Ofisi iko mwenge Itv karakana iko Goba Tatedo km 3tokea Massana hosptal.
Nipigie niwhatsap 0786808707

No comments :