Social Icons


SKIM KWA MATERIAL YA UHAKIKA WHITESKIMM WALL PUTY

@magic_builders_international WANAKUPA UFAFANUZI ZAIDI KUHUSU PRODUCT YETU MUPYAA YA WHITESKIMM..
0762249696

Naomba nitoee Darasa kidogo kuhusu White Skim wall putty na utofauti wake na Bidhaa zingine kama Gypsum plaster na white cement,
White Skim wall putty ni Putty iliyotengenezwa Mahusi kudhibiti Unyevu (Maji) shambulio la chumvi na Magadi pamoja na Fangasi, hutumika kwa kuta za njee na ndani, pia yafaa kuskim kwenye Ceiling na kubandika Mikanda ya Gypsum, hivyo kufanya kuwa Bora kuliko Gypsum pawder ambazo hutumika kwa Matumizi ya kuta za Ndani pekee, Gypsum pawder hushambuliwa na Fangasi na chumvi, pamoja na Maji na hivyo kufanya Rangi kutokudumu kwa muda mrefu 

Je ni ipi tofauti ya White Skim wall putty na white cement?

White cement ina uwezo wa Kudhibiti Maji pia, changamoto ya white cement inasumbua wakati wa kupiga Msasa, haipokei msasa kirahisi tofauti na wall putty, hivyo fundi hutumia Nguvu ya Ziada kupiga msasa, 

Pia ina Tabia ya kujenga Joto hivyo hafai kutumika kwa kuta za ndani, White Skim wall putty haina tatizo hilo, inafaaa kwa Matumizi ya ndani na Njee Bila shida, 

Tofauti ya tatu na Kubwa ni kwamba White cement huitaji Rangi nyeupe ya Maji (white emulsion) kama kichanganyio, hii huongeza Gharama ya ziada, white skim wall putty huchanganywa na Maji tu

 White cement huganda haraka kwenye ndoo tofauti na white Skim wall putty ambayo hukaa hadi masaa matatu bila kuganda 

Na mwisho  White cement hutoa nyufa ndogo ndogo ikikauka, white Skim wall putty hairuhusu nyufa hizo




No comments :