Social Icons


GRILL CONTRACTORS (DIRISHA NA MILANGO)

Karibuni wote kwa uhitaji wa dirisha za grill,milango,vitanda,mageti na fenicha aina zote,tunazingatia muda na ubora wa kazi yako utafikiwa.Tupo goba tatedo na tunakuhudumia mkazi wa Dsm na vitongoji vyake kwa gharama nafuu.0717060776 watsap na 0786808707kwa mawasiliano.utaratibu wetu ni kukupimia,kukupa picha uchague sampo, kukupatia quotation,kisha kuanza kazi kwa 50pacent of total amount,mwishoni ukiridhia kazi ni wiki mbili kisha tunakusafirishia na kukufutishia,red oxide ni cost yetu.karibu sana

No comments :