Social Icons


DESIGN ZA UJENZI ZINAZOROCK KWA SASA

Ujenzi wa nyumba umekuwa na mabadiliko kadiri miaka inavyoenda na teknolojia inavyokua.Kimsingi hatua za ujenzi wa jengo kuanzia msingi,kujengea tofali,kufunga lintel,na kupaua hadi kuezeka  hazina mabadiliko makubwa kulinganisha na hatua ya mwisho ya kumalizia yaani (finishing).

Finishing ndio imekuwa na mabadiliko mara kwa mara kadiri ya ujuzi wa fundi na matakwa ya mwenye nyumba.Utaalamu toka kwa nchi za wenzetu na hata ubunifu wetu umerahisha kupata mawazo mazuri ya dizain tofauti tofauti za finishing.Pia ukuaji wa sayansi na teknolojia ya mawasiliano umerahisisha upatikanaji wa habari za kutosha na hata picha,kutoka kwa wenzetu mbalimbali duniani.
Ujenzi zone imekuwa ikifatilia  hasa dizaini za miaka ya sasa ambazo zimependwa na zimetumika kwa kiasi kikubwa na leo tutakuwekea picha ya baadhi ya new designing zinazotumika nje na hata ndani ya nyumba zetu hasa kwenye nguzo,madirisha,kona za nyumba na hata juu ya mzunguko wa nyumba.
(Ukimhitaji fundi wa kazi hizi 0714 5329 05na mwingine ni 0755303486)

No comments :