Social Icons


BEFORE AND AFTER

Utunzaji wa kumbukumbu katika ujenzi wa nyumba zetu unalenga kwenye vitu muhimu mfano risiti,mikataba baina  ya fundi au injinia na mwenye nyumba,mahesabu ya manunuzi,na hata picha.
Vyote ni muhimu na inafaa kuzingatia uhifadhi wa kumbukumbu hizi kwa matumizi ya baadae.
Leo ujenzi zone inakuletea segment ya kabla na baada kwa nyumba zetu,hii inaongeza hamasa kwa wanaotizama picha hizi ili kuzidi kubadili muonekano wa nyumba zao na kuziweka katika hali ya kisasa zaidi. KARIBUNI WADAU MTUME PICHA ZENU ZA BEFORE AND AFTER KWA Whatsapp 0717060776 ntaziweka hapa na privacy zenu zitazingatiwa kwakuwa hatuna haja ya kutaja majina ya owners.

No comments :