Social Icons


TANGASTONE NA MATUMIZI YAKE

Jiwe la tanga limejinyakulia umaarufu sana kwa matumizi yake kama urembo linapobandikwa kwenye nyumba zetu.waweza bandika jiwe hili ukutani,kwenye fence,kwenye mzunguko wa nyumba kuanzia chini hadi juu,au kwenye sakafu badala ya tiles au paving bloks.leo nawaletea muonekano wa tangastone kwenye ngazi.hakika inavutia

1 comment :

shei mbu said...

s
oooo nice