Social Icons


SIRI YA NYUMBA KUITWA NYUMBANI

Tunapokamilisha ujenzi wa nyumba zetu bado kuna kitu muhimu kinahitajika kuifanya nyumba iwe nyumbani.Hauhitaji eneo kubwa sana kumiliki maua asilia.Unahitaji moyo wa kupenda kuiona nyumba yako iko complete kwa kuwa na maua mazuri.kwa wenye eneo kubwa unaweza kupanda ukoka,na kuzungushia borders za maua jamii ya mchongoma yanayoshikamana.Halikadhalika kwa wenye eneo dogo bado siri ni kutumia mitungi spesho kwajili ya maua,mitungi hii huuzwa sehemu nyingi zilipo bustani za wauza maua.utunzaji wa maua unahitaji maji,mbolea,pamoja na gardener mzoefu ambaye si lazima kumuajiri full time ila waweza kumpangia utaratibu wa kutembelea na kuona maendeleo ya maua yako.Kwa wenye uwezo kumuajiri mtalamu wa landscapping nayo huongeza thamani na ubora wa nyumba yako.
Kama ilivyo ada yetu ujenzi Zone tunakamilisha mada kwa picha.

No comments :