Social Icons


GOBA MJI MPYA.. VIWANJA VINAUZWA

TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA-GOBA CENTRE
Tunapenda kuwatangazia uuzaji wa viwanja 29 vyenye ukubwa mbalimbali katika eneo la Goba umeanza na unaendelea.
Viwanja hivyo vipo umbali wa mita 400 kutoka barabara kuu itokayo Mbezi luis-Massana inayojengwa kwa kiwango cha lami,mita 700 kutoka Goba Stand na kilomita 5 kutoka Massana hospitali,Mbezi tanki bovu,huduma za barabara nzuri mpaka kwenye viwanja zimewekwa katika eneo la mradi.
Viwanja vinauzwa kwa gharama ya sh MILIONI 17 kwa kila kimoja.Viwanja vina ukubwa wa kati ya MITA ZA MRABA 650 hadi 1200 .Mnakaribishwa  kufika na kuchagua viwanja katika eneo la mradi Goba.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0764050505 au 0782865032. WAHI SASA VIWANJA NI VICHACHE

No comments :