Social Icons


PATA MIONEKANO MARIDADI YA GYPSUM LIGHTS

Taa hizi zikiwekwa kwa ceiling zetu especially kwa gypsum boards huongeza mwanga na chumba huonekana maridadi na chenye mvuto sana kutokana na style uliyodizaini  ceiling yako.
Mara nyingi taa hizi huwekwa mwishoni baada ya ujenzi kukamilika.Muhimu ni kukumbuka kuziandalia connections za waya wakati unapofanya wiring ya nyumba yako.
Mafundi wahusika wa shughuli hii ni fundi gypsum ambaye hupima na kuzifitsha na fundi waya ndio hukamilisha kwa kuziunganisha mwishoni.
Ujenzi zone inakupa mionekano tofauti ya taa hizi na hakika zinavutia sana.

No comments :