Social Icons


NYUMBA CLASSIC TOKA KWA MDAU WA UZ..

Hakika ukiwa na chaguo zuri la vifaa na design za ujenzi plus mafundi wa ukweli utafurahia matunda ya pesa yako.
Ifike pahala tukubaliane kuwa nyumba kali huanza na wewe..sio  tu pesa ndio itakupa nyumba nzuri na unique kama hii bali ubunifu na choice yako kwenye chaguzi za vitu mbalimbali kama inavyoonekana pichani.
USHAURI........
Kwa kupitia blogs za ujenzi,na mitandao mbalimbali ihusuyo nyumba n.k na vipindi vya televishen na majarida husaidia sana kuleta ideas za muonekano mzuri na wa kisasa.
Usikose kupitia blog yako ya ujenzi zone na facebook group ya ujenzi zone kujionea mambo muhimu yahusuyo nyumba na ujenzi wake.
Shukurani za kipekee kwa mdau wangu wa kigamboni-kibada kushea nasi picha za nyumba yake ya kisasa mnooo..congrarulation

No comments :