Social Icons


PATA MUONEKANO CLASSIC

Pongezi nyingi zikufikie mdau wangu kushea nasi muonekano wa nje wa nyumba yako.
Hapa urembo wa nguzo,pale nakshinakshi madirishani,kule tiles za barazani,kwa ukuta yaani ni full kuijali nyumba na kuipendezesha.
Tiles za barazani zimerock sana tu kwa ngazi pale na halikadhalika muonekano wa ndani wa gypsum uko vizuri na rangi zimetulia.kwa urembo wa nguzo0714 532905.

No comments :