Social Icons


OLD HOUSE FOR SALE


Nyumba ya zamani kwa ajili ya matengenezo na renovation, unaweza kuiboresha na kuifanya ya kisasa kwa gharama nafuu jengo ni zima kabisa, ina uwanja wa square meter 620 inatosha kwa parking na garden ipo pembeni ya barabara kubwa ya Goba-Tegeta 3km toka barabara ya lami umeme upo karibu
BEI NI 27,000,000 TSHS
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU

0786808707 AU 0767992222

this is an excellent renovation project kwa mtu anaetaka nyumba kwa gharama ndogo















No comments :