Social Icons


RANGI ZA NYUMBA ZINAZOROCK KWA NJE...

Mdau wa ujenzi hapa tutashea baadhi ya rangi zinazoleta muonekano mzuri zikipakwa nje ya nyumba zetu.muhimu ni kuchagua rangi zinazomech vzuri na paa/bati lako ili kupata muonekano maridhawa.Kama inavyoonekana pichani hizo ni baadhi ya rangi zinazofanya vizuri miaka ya sasa...Rangi nyeupe ni kimbilio la wengi na huwa haina ubaguzi na rangi ya paa iwe vyovyote vile.Nawatakia ujenzi murua ...na usiache kuwakaribisha wengine kwenye blog yako kali ya maendeleo.

Hii inarock ikichanganywa na rangi nyeupe..
Hii inarock na marun colour ikiwa kwa bati...
Hizi ni rangi tatu zote ziko mixed vizuri...
Hii ni brown bread katika ubora wake...
Grey and white ndio habari ya mujini..
Hii huwa inarock vyema na blue bati...
Hii white inarock vyema ikiwekwa hizo corner blocks zenye gold colour..
White ni kimbilio la wengi wasio na choice complications na hupendeza zaidi kwa bati la blue..

No comments :