Social Icons


MAMBO MAPYA


Wapendwa wadau wa blog yetu ya Ujenzi Zone baada ya matatizo ya kiufundi blog yetu imerudi upya hewani na vitu vipya, kimojawapo mtakachoweza kukifurahia sasa ni kuandika comments kwa post zote zinazowekwa tuzingatie kwamba comments zote zitakuwa moderated na kuna uwezekano wa comment yako kufutwa kama haitazingatia maada, vigezo na maadili.
Lingine mtakaloweza sasa ni kututumia matangazo yenu madogo madogo ambayo yatajitokeza katika segment yetu ya wauzaji na wanunuzi, iwe ni kuuza bidhaa, kununua bidhaa, kutoa huduma za kiufundi au unatafuta huduma ya kiufundi tembelea segment yetu ya WAUZAJI NA WANUNUZI kwa maelezo zaidi

No comments :