Social Icons


GARDEN ZINAZOROCK ZIKO NAMNA HII...

Mdau uliyebahatika kujenga maeneo yenye nafasi kubwa ni vyema ukaijali nyumba yako na afya macho yako kwa kuweka bistani nzuri za maua.
Namna utakavyopangilia ardhi iliyopo ndani kwako kwa kujengea cabstone,paving blocks,na kuweka nakshi nakshi za hapa na pale itasaidia zaidi kupata muonekano maridhawa kwa nyumba yako.
Kwa  wale wenye nafasi ndogo pia hamjakosa style nzuri ya uwekaji stendi za maua za chuma zinazosevu nafasi na kubeba maua aina mbalimbali.

SPECIAL THANKS KWA WADAU MLIOSHEA NASI PICHA ZENU KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE.
KWA WALE MTAKAOHITAJI STENDI ZA MAUA TUWASLIANE KWA

0786808707


























No comments :