Social Icons


GET INSIPIRED NA FINISHING ZA NYUMBA HIZI ZA KISASA NDANI NA NJE..

Ujenzi zone inakupa habari zenye kukutia moyo na kukujenga kuwa ujenzi wa kisasa unabebwa na finishng nzuri namna hii.
Maranying hatua za awali za ujenzi,mfano..kuchimba msingi,kupandisha mjengo,kufunga linta na kupaua na kuezeka hufanana kwa nyumba almost zote..
Finishing nzuri ni hatua za mwisho baada ya plasta, mfano skimming na brandering, kuweka tiles, kufanya decoration za ukuta nguzo n.k na hatimaye madirsha ya kioo iwapo madirisha ya chuma yameshawekwa.
Rangi ndio hatua ya mwishoni kabisa baada ya ufitishaji wa milango,mabafu na sink mbalimbali za jikoni na toilets.

SPECIAL THANKS KWA WADAU WETU WOTE MLIOSHEA NASI PICHA ZA NYUMBA HIZI..
























No comments :