Social Icons


HAUHITAJI KUWA NA NYUMBA KUBWA SANA KUMILIK JIKO LA NDANI LAKISASA NAMNA HII..

Imekuwa mazoea kwa wengi wanaojenga nyumba za kisasa miaka ya 2000's-2015 kuweka nafasi ya jiko la ndani.
Wengi wamekuwa wakihofia kuwa kunahitajika nafasi kubwa sana ili waweze kujenga jiko la ndani lenye kitchen cabinets za mbao au matirio jamii ya mbao,lenye kutoshea matumizi yetu.
pichani utajionea namna ya kuposition jiko lako na kabati za vyombo ziweze kutoshea na kuvutia.
kwa mahitaji ya fundi wa kabati za jikoni muone fundi mzoefu..0719136699

No comments :