Social Icons


UJENZI ZONE TEAMWORK,WE TRANSFORM YOUR DREAM INTO REALITY..

Kwa wale wadau mnaodream kumiliki  mijengo ya kisasa na yenye kufata vigezo na masharti,usisite kutembelea blog yetu na facebook group kujifunza mengi yahusuyo ujenzi wa  za ukweli na za kisasa.
Ujenzi zone teamwork ni mkusanyiko wa wadau mbalimbali wanaofanikisha ndoto za wale wenye nia ya kumiliki nyumba za kisasa.
Katika team yetu wapo maagent wanaofanikisha upatikanaji wa viwanja,wapo wachora ramani,wapo mainjinia wasimamizi wa ujenzi,wapo mafundi masons,wapo wanaosupply matirio aina mbalimbali za ujenzi,wapo wanaotoa huduma mbalimbali,wapo waezekaji na wauza vifaa husika,hali kadhalika wapowatengenezaji madirisha ya grill na wafitishaji,pia wapo wataalamu wa fininshing zote za ndani na nje na pia wapo wataalamu wa garden na landscapping.
KWA LUGHA NYEPESI NI KUWA KILA UNACHOSTAHILI KUWA NACHO KWENYE UJENZI WA NYUMBA YAKO SASA KIMEPATIWA UVUMBUZI WENYE MANUFAA.
~UNAPOHITAJI DIRISHA ZA CHUMA/GRILL TUONE KWA NAMBA 0786-808 707.
~UNAPOHITAJI INTERIOR DESIGNERS WAONE HUSEA COMPANY.
~UNAPOHITAJI WATAALAMU WENGINE WA AINA ZOTE INGIA FACEBOOK KWENYE GROUP YETU YA UJENZI ZONE UINGIE KWA PINNED POST UJIPATIE KUONA KAZI ZAO NA NAMBA ZAO ZA SIMU.

No comments :