Social Icons


METAL STUFFS ZARUDI MUJINI KWA KASI,JIONEE BAADHI YA KAZI ZETU UJENZI ZONE METAL WORKS.

Wengi hupendelea fenicha za chuma,kwa muda mrefu wamekuwa wakishindwa kufurahia huduma hizi kutokana na kukosa kukabidhiwa zikiwa na finishing nzuri na yenye kuvutia.Kwasasa Hutakiwi kuwazia tena juu ya hilo,tunakuhakikishia kazi nzuri zenye uhakika na uaminifu wa hali ya juu' UJENZI ZONE METAL WORKS NDIO JIBU LAKO.karibu tukufanyie kazi zako zote za chuma,iwe ni ~madirisha
~Viti, makochi na madawati
~mageti
~Vitanda
~Balcon
~Staircase
~Stands za aina zote iwe za nguo,za maua za vyombo n.k
Workshop yetu iko Mbezi juu ukiingilia tankbovu/massana hosptal kupitia barabara ya Goba.3km from Bagamoyo road,Pia hivi karibuni tutafungua duka letu Mwenge opp Nakiete pharmacy pemben ya lami iendayo town.
TUNAPOKEA ODA AINA ZOTE IWE MUDA WOWOTE TUWASILIANE 0786808707.

No comments :