Social Icons


UJENZI ZONE METAL SHOP AT MWENGE DSM...

Ujenzi zone metal shop to be opened at Mwenge opp Nakiete pharmacy soon..
Ofisi yetu inapokea oda za aina zote za matirio ya chuma na pia tutauza vitu mbalimbali vya chuma,vitanda,makochi,viti,na stends mbalimbali za vyombo na maua kwa bei nafuu.
Toa oda yako sasa kwa mahtaji ya vilivyopo pichani..
Madirisha na mageti plus balcon tunapokea oda kama kawaida yetu.
0786808707

No comments :