Social Icons


WHEN BEFORE MEETS AFTER...HII NI TWO IN ONE UNIQUE HOUSE...

Thanks for sharing picha za nyumba yako mdau wangu wa sikunyingi sana ujenzi zone.Hii nyumba ni two in one yaani ni familia mbili zaweza ishi kwenye kila wing moja.
Kinachonivutia zaidi ni hizo gebo makini (southafrican gable) hapana chezeiya kabisa.
Finishing mpaka kwenye plasta nyumba iko safii waweza hamia anytime.
Hongera sanamdau..natarajia kupokea picha za finishing ya mwisho yenye kurock more and more.





No comments :